DOKEZO Watumishi Ajira Mpya (Sikonge na Rombo) hatujalipwa Fedha za Kujikimu, tunapigwa danadana

DOKEZO Watumishi Ajira Mpya (Sikonge na Rombo) hatujalipwa Fedha za Kujikimu, tunapigwa danadana

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mtazoea tu...maadai ya fedha ya serikalini huchukua muda. Cha msingi mshahara umeingia (una check number) Hilo ndio la maana. Hiyo hela ya kununua subwoofer,Azam decoder, flat tv inchi 32 na kunywia bia mtaipata ila muwe wastaarabu maana mnatukana sana kwenye makundi yenu ya Whatsapp (alafu mko katika kipindi Cha majaribio ya mwaka mmoja) mmeshasahau mmesota miaka mingi bila ajira.
Wewe ni katibu wa wapi mbona kama una wivu sana.
 
Wivu wa nini?....hiyo pesa ya kujikimi isisyozidi 1m? Au hiyo ajira uliyoipata juzi? Alafu umepangiwa Kijijini. Hizo mbwembwe subiri maisha yajipange utaona kawaida dogo. I'm talking about experience
Maelekezo yametoka juu huko wakurugenzi walipe hizo pesa
 
Wivu wa nini?....hiyo pesa ya kujikimi isisyozidi 1m? Au hiyo ajira uliyoipata juzi? Alafu umepangiwa Kijijini. Hizo mbwembwe subiri maisha yajipange utaona kawaida dogo. I'm talking about experience
matambo meengi, kila mtu ana value cha kwake, just be humble
 
Back
Top Bottom