GoPPiii.
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,792
- 3,075
Inakuwaje tarehe za mwisho wa mwezi foleni ATM ni kubwa kuliko kawaida, foleni ina almost mita 50 aisee.
Yaani mtu hadi unahairisha kutoa unaenda zako kwa wakala.
Hivi kwa mishahara hii kiduchu tutatoboa kweli.
Tujitahidi kutafuta financial freedom. Mshahara inabidi usitoke pale unapowekewa hadi baadae sana. Foleni hii ni kiashiria kuwa madeni ni mengi sana.