GoPPiii.
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,792
- 3,075
- Thread starter
- #21
Mbona kama umekasirika mkuu,lengo la uzi ni kuboresha, hizi foleni zinaashiria watumishi maisha yao ni kusubilia mshahara,inabidi wajijenge,ikitokea kazi haipo ATM tutaenda kweli. Wewe ni Mwalimu!?Mshahara ndio shamba la huyo mtumishi. Huko anakokaa siyo kwao.
Hana nyumba, amepanga.
Hana shamba hata la migomba.
Hana hata mbuzi Wala kuku kwenye nyumba ya kupanga.
Kwahiyo, unataka kumpangia namna ya kuchukua malipo yake ili iweje??
Mibongo kwa unafiki hamjambo.