Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Kuona majina ya kuitwa kwenye usaili ndio kupata?Huku kwetu watumishi wamepata kwa 100%
Na pia idadi iliyoomba ajira wamepita wote.
Binadamu kwa kawaida ni wabinafsi, serikali inapotoa hizi kazi watumishi wasihusike kabisa,Tuwe na huruma ndugu zangu, tusiwe na mioyo migumu kama korosho...
๐๐๐๐ ๐Basi watumie vema hicho kipato kujikwamua kiuchumi na sio kuweka heshima bar na kuchakata mbususu mitaani.
Sasa kuna furaha nyingine maishani zaidi ya kuwa na marafiki!!?Basi watumie vema hicho kipato kujikwamua kiuchumi na sio kuweka heshima bar na kuchakata mbususu mitaani.
Kabla hawajachujwa nilipopata habari kuwa watumishi wameomba nikashauri serikali ipige chini wote waloajiriwa kwani kuwapa watumishi kazi hiyo ni kuzidi kuchochea chuki kati ya wasoajiriwa na serikali,waajiriwa na wasoajiriwa.Tuwe na huruma ndugu zangu, tusiwe na mioyo migumu kama korosho.
Maelfu ya vijana wapo mtaani hawana ajira, wewe mtumishi wa umma...
Ni furahaaa, kuwa na marafiki, furaha kulewa na marafiki,..I like that song.Sasa kuna furaha nyingine maishani zaidi ya kuwa na marafiki!!?
Kwahyo bora wewe mtumishi mwenye mshahara mwisho wa mwezi upate kijana jobless akose ?Mtumishi pia anatafuta pesa nje ya mshahara,Hivo sio dhambi.Hii KAZI ni ya yeyote mwenye vigezo ndio maana usaili umefanyika nchini kote.
Watawaondoa tuHuku kwetu watumishi wamepata kwa 100%
Na pia idadi iliyoomba ajira wamepita wote.
Hakika watuachie nafas kidg ya kulamba asali ya nchiTuwe na huruma ndugu zangu, tusiwe na mioyo migumu kama korosho.
Maelfu ya vijana wapo mtaani hawana ajira, wewe mtumishi wa umma , sekta binafsi ama uliye na biashara zako unang'ang'ana kuomba hizo ajira za muda mfupi (Siku 21 hadi 35)! Huna aibu?
Serikali imefanya jambo jema sana. Watumishi wa umma wengi wametemwa kwenye ajira za Ukarani, TEHAMA au hata wale wakufunzi. Safi mno.
Wewe unalipwa mshahara (let say 700k), kuna watu wana Masters, Degree, Diploma maelfu na maelfu na ni miaka na miaka wapo mtaani wanasugua gaga, unataka hizihizi ajira?! Huna akili.
Hivi huu mstar uko kwenye wimbo was Nani mkuuNi furahaaa, kuwa na marafiki, furaha kulewa na marafiki,..I like that song.