Si huwa mnaponda walioajiriwa serikalini, leo vipi tena! Ngoja tukomae nao, hakuna kuachia nafasi kwa mtu anayekukebehi... Wewe unalipwa mshahara (let say 700k), kuna watu wana Masters, Degree, Diploma maelfu na maelfu na ni miaka na miaka wapo mtaani wanasugua gaga, unataka hizihizi ajira?! Huna akili.
Hapana! ukianza kulamba utanogewaHakika watuachie nafas kidg ya kulamba asali ya nchi
Duniani hatuishi kwa huruma kijana,pambana,unaweza ukawa unamuona ana kazi ila hujui changamoto zake pia,kipato hakijawahi kutosha siku zote,ww jiandae kupambana nao siyo kutia huruma,huruma haijawhi kuwa jawabu,dunia ya leo atakayekuonea huruma ni mzazi wako tu!Tuwe na huruma ndugu zangu, tusiwe na mioyo migumu kama korosho.
Maelfu ya vijana wapo mtaani hawana ajira, wewe mtumishi wa umma , sekta binafsi ama uliye na biashara zako unang'ang'ana kuomba hizo ajira za muda mfupi (Siku 21 hadi 35)! Huna aibu?
Serikali imefanya jambo jema sana. Watumishi wa umma wengi wametemwa kwenye ajira za Ukarani, TEHAMA au hata wale wakufunzi. Safi mno.
Wewe unalipwa mshahara (let say 700k), kuna watu wana Masters, Degree, Diploma maelfu na maelfu na ni miaka na miaka wapo mtaani wanasugua gaga, unataka hizihizi ajira?! Huna akili.
Nasikia kule TASAC kimeshanuka, watu kibao wanapoteza ajira zao karibu 300Serikali imefanya jambo jema sana. Watumishi wa umma wengi wametemwa kwenye ajira za Ukarani, TEHAMA au hata wale wakufunzi. Safi mno.
Sawa mara baada ya hapo ulalamike huna mtaji wakati umekula mbegu na masela.Sasa kuna furaha nyingine maishani zaidi ya kuwa na marafiki!!?
Furaha by Iyanii.Hivi huu mstar uko kwenye wimbo was Nani mkuu