Utafiti uliotolewa na kuonyesha kuwa 40% ya watumishi wa umma ni mizigo, kwa maana wengi ni wavivu, wazembe na hawatimizi wajibu wao ipasavyo, naunga mkono utafiti huo kwa 100%
Chanzo kikuu ni hiki hapa;-
1. Mahusiano ya kingono kati ya mabosi/viongozi na wanao ongozwa......hiki ndio chanzo kikubwa kinacho pelekea kuwa na watumishi mizigo wasio timiza majukumu yao, inapelekea uzembe, uvivu, mazoea n.k.
Suluhisho ni kuwabaini viongozi wote wenye mahusiano ya kingono maofizini/makazini na Kisha kuwaondoa maramoja.