Watumishi mmepata mshahara wa mwezi Oktoba na mmelipwa malimbikizo yenu kama ilivyodaiwa?

Watumishi mmepata mshahara wa mwezi Oktoba na mmelipwa malimbikizo yenu kama ilivyodaiwa?

Jiwe and his concubines hawajali kabisa wenyewe wanashindilia tu miugali yao ya bure at an expense of taxpayers and donors money.

Shibe inadharau sana ndio maana utakuta anakurupuka tu nakuibia watu Korosho pora rambirambi . Sasa kapigwa kipapai/kimbola/kifamfiii hata kama hatakufa na atapona ila cha moto amekiona na kasi ya dharau itapungua

Elitwege thetallest Magonjwa Mtambuka magu2016
Umemaliza kuosha vyombo ?
 
Kwa kumbukumbu zangu, kuna uzi uliletwa hapa JF katika hili Jukwaa la Siasa ukituhabarisha kuwa mwezi huu wa kumi serikali italipa madai ya watumishi wa umma.

Sasa kwakuwa tarehe za mishahara ndio hizi, watumishi tunaomba mtujuze kama kweli mmelipwa kama tulivyoambiwa maana siku hizi siasa zimekuwa nyingi kuliko vitendo.
Ikusaidie nini kama wamelipwa au la? Mind your business bro
 
Kutegemea mshahara ni ujinga wa hali ya juu kabisa
Unajua maana ya mshahara?

Mshahara ni fedha anazolipwa mtu kila mwezi kwa kazi aliyoajiriwa kufanya.
Kuna tatizo gani mtu kutegemea nguvu ya jitihada na kazi zake alizozifanya?bila shaka hakuna tatizo .
Kama una wazo lingine la kuwasaidia watumishi basi usiwatukane kwa tusi kubwa kama hilo,wape huo ushauri wako na mwenye kuukubali ataufata.
Jamii hii ni vyema kuheshimiana na sio kutukanana,umenielewa ?????
 
Nilitaka nishangae komenti Kama hii ikosekane kutoka kwa ma-Jobless
Kosa lake kubwa ni kutukana watu na kuwadharau, kwa nini usiwasilishe hoja yako kwa ustaarabu ? Ukitukana watu ndio unapata faida gani??
Na wewe pia acha kumdhania kwamba atakuwa ni jobless,usimkosee adabu.
Kauli yake inaonesha yupo katika hatua fulani ya maisha baada ya kutumia akili na maarifa makubwa kiasi cha kushangaa watu wengine na kuwatukana baada ya kuwadharau kwa kiasi kikubwa
Nilitaka nishangae komenti Kama hii ikosekane kutoka kwa ma-Jobless
 
[emoji1625][emoji1625][emoji1625][emoji1594][emoji1594][emoji1594][emoji1452][emoji1451]
 
Kosa lake kubwa ni kutukana watu na kuwadharau, kwa nini usiwasilishe hoja yako kwa ustaarabu ? Ukitukana watu ndio unapata faida gani??
Na wewe pia acha kumdhania kwamba atakuwa ni jobless,usimkosee adabu.
Kauli yake inaonesha yupo katika hatua fulani ya maisha baada ya kutumia akili na maarifa makubwa kiasi cha kushangaa watu wengine na kuwatukana baada ya kuwadharau kwa kiasi kikubwa
Jobless huyo anaongozwa na wivu kwa wenye ajira
 
Jamii yetu kwa sehemu kubwa haiamini diversity. Wajasiriamali wanataka watu wote kuwa wajasiriamali. Ajabu sana. Hakuna jamii kama hiyo. Wanataka tuwe nyumbu,tuelekee upande mmoja woteee! kwamba eti sote tujiajiri, haiwezekani...Waacheni watumishi watoe huduma kwa jamii. Msiwaponde kwamba wanategemea mshahara na isitoshe who knows kwamba fulani anategemea mshahara?
 
Ngoja tumalize kazi ya kudhibiti VITUO HEWA vya kupigia kura, vijana wa Lumumba mtafunga tu hayo madomo yenu mwenyewe. CCM must go
 
Back
Top Bottom