Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watumishi wa umma wa tz ni kikundi cha watu wasiojielewa. Uliona wapi mtu anakupunja halafu unaiba kura kwajili yakeNaomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko len
Wametii kiu yenu ya kukusanyika ?
Hasa Polisi na WalimuWatumishi wa umma wa tz ni kikundi cha watu wasiojielewa. Uliona wapi mtu anakupunja halafu unaiba kura kwajili yake
Why between our salary Urusi and Ukraine is passing around, whyyyy? We hate them🤣🤣🤣🤣Tunajiandaa na uchaguzi jamani, uvamizi wa Urusi huko Ukraine umeiathiri Tanzania kuliko nchi yoyote Ile duniani.
Tuwe watulivu, serikali inawajali watumishi☺️
Ila tutanunua ma v8 ya ma DC wetu jamani ama siyoTunajiandaa na uchaguzi jamani, uvamizi wa Urusi huko Ukraine umeiathiri Tanzania kuliko nchi yoyote Ile duniani.
Tuwe watulivu, serikali inawajali watumishi☺️
Why between our salary Urusi an Ukraine is passing around, whyyyy? We hate them🤣🤣🤣🤣
Kuna mkutano nchini Kenya wa wakuu wa nchi za Africa na mfuko wa mikopo wa World bank kama sijakosea.Hilo la wadudu ilikuwa ni plan ya bashite, ili maslahi ya watumishi yasizungumzwe kabisa!!
Ccm walitaka wadudu ndio watrend na hata habari za Kwa nini Rais hakwepo hakuna anayezizungumzia!
Ilitegemewa Makamu atuambie alipo Mzanzibar lakini hola....!!
Labda Jack Chan atatusikiliza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watu waonyeshe nia ya kujitoa , jamaa wanakata tu pesa kila mwezi hawana msaada kama ishu za mishahara watu wadai kupitia management za taasisi na uongozi wa Tamisemi.Tanzania inabidi tuanzishe COSATU yetu... Hivi vilivyopo ni Bure kabisa
Yule wa singida mwenye dhamana ya fedha yeye anachota tu ila wafanyakazi wanadanganywa kama watoto.ila hii nchi hii wafanyakazi wapole sanaNaomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko lenu?
Wametii kiu yenu ya kukusanyika ?
Hata kwenye madaraja Bado haijulikan wanaopanda ni wepLabda kwenye madaraja na incriment ndiyo kutakuwa na kuambulia chochote. Ila siyo nyongeza ya mshahara. Hapa siasa imetumika.
😂 Tunadhibiti mfumuko, pia vita na migogoro inayoendelea mashabiki ya kati kati ya Israel na Palestine imepelekea tushindwe kuwapa nyongeza ya mishara kama tulivyopanga!😆Why between our salary Urusi and Ukraine is passing around, whyyyy? We hate them🤣🤣🤣🤣