Watumishi mnazungumzoaje Mei Mosi 2024?

Watumishi mnazungumzoaje Mei Mosi 2024?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Naomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko lenu?

Wametii kiu yenu ya kukusanyika ?
 
Mwakani hizo pesa za kufanya sherehe siku ya maadhimisho wazipeleke Kwa watoto yatima......hizi futuhi wanajipatisha dhambi za bure, manake haieleweki ni sherehe za wafanyakazi, UVCCM au wadudu.....🤣🤣🤣
 
Naomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko len
Wametii kiu yenu ya kukusanyika ?
Watumishi wa umma wa tz ni kikundi cha watu wasiojielewa. Uliona wapi mtu anakupunja halafu unaiba kura kwajili yake
 
Tunajiandaa na uchaguzi jamani, uvamizi wa Urusi huko Ukraine umeiathiri Tanzania kuliko nchi yoyote Ile duniani.

Tuwe watulivu, serikali inawajali watumishi☺️
 
Hilo la wadudu ilikuwa ni plan ya bashite, ili maslahi ya watumishi yasizungumzwe kabisa!!
Ccm walitaka wadudu ndio watrend na hata habari za Kwa nini Rais hakwepo hakuna anayezizungumzia!
Ilitegemewa Makamu atuambie alipo Mzanzibar lakini hola....!!
 
Tanzania inabidi tuanzishe COSATU yetu... Hivi vilivyopo ni Bure kabisa
 
Why between our salary Urusi an Ukraine is passing around, whyyyy? We hate them🤣🤣🤣🤣

Hilo la wadudu ilikuwa ni plan ya bashite, ili maslahi ya watumishi yasizungumzwe kabisa!!
Ccm walitaka wadudu ndio watrend na hata habari za Kwa nini Rais hakwepo hakuna anayezizungumzia!
Ilitegemewa Makamu atuambie alipo Mzanzibar lakini hola....!!
Kuna mkutano nchini Kenya wa wakuu wa nchi za Africa na mfuko wa mikopo wa World bank kama sijakosea.
 
Tanzania inabidi tuanzishe COSATU yetu... Hivi vilivyopo ni Bure kabisa
Watu waonyeshe nia ya kujitoa , jamaa wanakata tu pesa kila mwezi hawana msaada kama ishu za mishahara watu wadai kupitia management za taasisi na uongozi wa Tamisemi.

Vyama vilvyopo ni branch ya serikali hawana watakachofanya.
 
Naomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko lenu?

Wametii kiu yenu ya kukusanyika ?
Yule wa singida mwenye dhamana ya fedha yeye anachota tu ila wafanyakazi wanadanganywa kama watoto.ila hii nchi hii wafanyakazi wapole sana
 
Labda kwenye madaraja na incriment ndiyo kutakuwa na kuambulia chochote. Ila siyo nyongeza ya mshahara. Hapa siasa imetumika.
Hata kwenye madaraja Bado haijulikan wanaopanda ni wep
 
Why between our salary Urusi and Ukraine is passing around, whyyyy? We hate them🤣🤣🤣🤣
😂 Tunadhibiti mfumuko, pia vita na migogoro inayoendelea mashabiki ya kati kati ya Israel na Palestine imepelekea tushindwe kuwapa nyongeza ya mishara kama tulivyopanga!😆
 
Back
Top Bottom