Watumishi NBC wadai kudhalilishwa

Watumishi NBC wadai kudhalilishwa

Huyu bwana Mdogo Maharage nakumbuka alikuwa Standard Chartered Bank na Mafuru,baadaye akaamia VODA,Mafuru baada ya kuwa MD,akamwita mshikaji.....kwani jamaa ana post gani pale kiasi kwamba aweze kuleta unyanyapaa kwenye Bank kubwa kama NBC,maana ana degree ya Electronics kutoka UDSM
 
Poleni sana wana NBC natamani kama vile Mlw. JK Nyerere afufuke aje ajionee madudu
 
Poleni sana wana NBC natamani kama vile Mlw. JK Nyerere afufuke aje ajionee madudu

Watz tumezidi mno upole ..................imagine mume/mke wa mtu au hata kijana wa mtu anafanyiwa mambo kama hayo......................hata kama uongozi wa benki unasema hauna taarifa etc. inabidi kwenda kwa either mbunge machachari umweleze na swali lifike bungeni straight (kama swali la nyongeza ............) au kuripoti kwa mwandishi wa bahari na headlines mbele ya gazeti ..............ikibidi anayekufanyia hivyo unamshitaki yeye personally - kuna vyombo vya kutetea haki za binadamu etc.

mara nyingine shida ya ajira inamfanya mtu avumilie kiasi hiki ...............jamani tuwe wajarisiri .... tusimamie haki zetu ..... TUSIKUBALI kunyanyaswa kirahisi hivyo .... eti BOSS ... BOSS ni mwanadamu tu ............anakuila, anakwenda haja ....atakufa...atazikwa ..... kama mwanadamu wa kawaida .... BOSS NI WA KUHESHIMIWA NA SIO KUABUDIWA KAMA MUNGU ..... MSIMAMO NI KITU MUHIMU SANA KATIKA MAISHA ............ KAZI ETC. WATANZANIA TUAMKE
habari hii imeniumiza sana ........................hata kama mimi ni YATIMA SIKUBALI:hurt:
 
wizara husika ina tuyeyusha ivi kweli mtu kuwa mkuu wa kitengo hicho mpaka atoke nje? Hapo mie naona kwa ushenzi huo na yeye huyo boss atolewe pale njee avuliwe zote wafanyakazi wamuone.
 
Nbc ni benki ya taifa ya biashara ila sina hakiak taifa lina hisa asilimia ngapi.......isije ikwa jina tu kuwa benki ya taifa............lkn kwa nini kila sehemu watz wanaruhusiwa wanyanyasye na wageni kwa kigezo cha uwekezaji?
 
Huyo Mafuru huyo ni balaa sana kha NBC inamatizo kila kukicha
 
wacha wasulubiwe watz hawana nidhamu ya kazi hawajitumi ndio manake tunaongozwa na wageni, tuliwafukuza wakoloni kila kitu kikasimama , watz wamelaaniwa na aliyewalaani kashakufa , jiulize miaka 50 baada ya uhuru bado tunawategemea wageni kutuongoza
Watu waumie watatia akili
 
Nbc ni benki ya taifa ya biashara ila sina hakiak taifa lina hisa asilimia ngapi.......isije ikwa jina tu kuwa benki ya taifa............lkn kwa nini kila sehemu watz wanaruhusiwa wanyanyasye na wageni kwa kigezo cha uwekezaji?

Mramba na mume mwenza Mkapa waliuza share za serikali kinyemela, then jamaa wakauza 1/4 au 1/3 ya hizo share kwa bei zaidi ya waliyonunulia share zote za serikali
 
eti uvue nguo alafu uiname yy kakaa nyuma kweli huu ni utu au anafikiri wameficha pesa kwenye tgo alafu ni mghana anamfamyia mzawa
 
Huyo Mafuru huyo ni balaa sana kha NBC inamatizo kila kukicha
<br />
<br />
balaa ya Mafuru inaanzia wapi? mafuru ni mmoja wa CEOs wazuri sana,yuko pale kwa merit na sidhani kama yeye ni chanzo cha hilo tatizo.Kwa vyovyote kuna sababu kwanini kilifanyika hicho kilichofanyika.Watanzania tumezidi ukwapuzi sana!
 
Wtf???????? Mghana anakuaj kufanaya nini?? Kwa sababu annajua kingereza au wtf?? Wthf?? Mimi nilisoma na watu wa nchi mbaalimbali lakini wabongo ndio tulikuwa an akili kupita waafrica wote pale darasani?? Wtf??? Huyo mghana kama sio kilaza kwa nini asiajiriwe kwao?? Wtf?? Wtf??
 
MAFURU MAFURU NAHAMAHARAGE ndio chazo, cha matatizo yote NBC sasa hivi benk imekosa muelekeo kabisa, wabongo bana, nasikia wafanyakaz kibao wameacha kazi na wengine wameanza kuiba tu, na wengine bora liende coz hawa jamaa ni much know usipime. Ok tutaona mwisho wao
 
Lakini wakati fulani ni ukondoo usio na tija. hawa watu wanajua haki zao, wanajua ubinadamu na majukumu yao nini, kwa nini wakae uchi? hapa nashindwa kuelewa kabisa. kwa maelezo haya yaliyotolewa hainiingii akilini mtu kukwambia vua nguo nawe ukavua ukakubali. je angewaambia awafile napo wangekubali? watz kuweni jasiri, tambueni mipaka ya kazi zenu na majukumu unayostahili kuyatimiza, si kila kitu uambiwacho nawe unakubali. Kama wasomi hawa wanafanyiwa hivi, walioko vijijini wao ingekuwaje?
 
Jaribuni kupata habari za uhakika. Tunaharibu credibility ya JF. Ni kweli hicho kitendo kimefanyika lakini siyo kwa wafanyakazi wa NBC. Hii imetokea kwa outside vendor wa NBC. Ni security firm ambayo ina tena ya kutransfer hela.
 
Lakini wakati fulani ni ukondoo usio na tija. hawa watu wanajua haki zao, wanajua ubinadamu na majukumu yao nini, kwa nini wakae uchi? hapa nashindwa kuelewa kabisa. kwa maelezo haya yaliyotolewa hainiingii akilini mtu kukwambia vua nguo nawe ukavua ukakubali. je angewaambia awafile napo wangekubali? watz kuweni jasiri, tambueni mipaka ya kazi zenu na majukumu unayostahili kuyatimiza, si kila kitu uambiwacho nawe unakubali. Kama wasomi hawa wanafanyiwa hivi, walioko vijijini wao ingekuwaje?

nidhamu ya woga hii
 
mbona umenichanganya??

Ubaguzi ulikuondoa pale... lakini tena unasema Maharage na Mafuru kuja ndio mambo yakaharibika, sasa mbaguzi ni mafuru na maharage au hao foreigners?

I thought ujio wa mafuru na marage ndio unaashiria kupunguza ubaguzi?? hebu nisaidie dadangu

Hao ndio vinara wa ubaguzi. Wote mna degree, mwenako anapata milioni kumi wewe laki nane. Wote mnafanya kazi ya aina moja, ukiuliza unaambiwa mwenzako ni talented tena yuko potential. Nikaondoka
 
Back
Top Bottom