Panga La Shaba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2009
- 209
- 68
Poleni sana wana NBC natamani kama vile Mlw. JK Nyerere afufuke aje ajionee madudu
Nbc kuna mambo. Siku si nyingi nimesikia wanataka kugoma. Ujio wa Mafuru na Maharage Chande una kasoro.
l used to work there, sera za ubaguzi zikanikimbiza.
Nbc ni benki ya taifa ya biashara ila sina hakiak taifa lina hisa asilimia ngapi.......isije ikwa jina tu kuwa benki ya taifa............lkn kwa nini kila sehemu watz wanaruhusiwa wanyanyasye na wageni kwa kigezo cha uwekezaji?
<br />Huyo Mafuru huyo ni balaa sana kha NBC inamatizo kila kukicha
Lakini wakati fulani ni ukondoo usio na tija. hawa watu wanajua haki zao, wanajua ubinadamu na majukumu yao nini, kwa nini wakae uchi? hapa nashindwa kuelewa kabisa. kwa maelezo haya yaliyotolewa hainiingii akilini mtu kukwambia vua nguo nawe ukavua ukakubali. je angewaambia awafile napo wangekubali? watz kuweni jasiri, tambueni mipaka ya kazi zenu na majukumu unayostahili kuyatimiza, si kila kitu uambiwacho nawe unakubali. Kama wasomi hawa wanafanyiwa hivi, walioko vijijini wao ingekuwaje?
mbona umenichanganya??
Ubaguzi ulikuondoa pale... lakini tena unasema Maharage na Mafuru kuja ndio mambo yakaharibika, sasa mbaguzi ni mafuru na maharage au hao foreigners?
I thought ujio wa mafuru na marage ndio unaashiria kupunguza ubaguzi?? hebu nisaidie dadangu