A
Anonymous
Guest
Wananchi tunalalamikia Arusha City Hospital iliyopo Njiro, inatumika kama hospitali ya wilaya kwa sasa, changamoto iliyopo ni huduma wanazotoa wanaweka maslahi ya fedha mbele bila kufuata utaratibu.
Wananchi tunalalamika sana juu ya kero hizo hata tunapolipia huduma tunapewa risiti ambazo zina mgawanyiko wa fedha kidogo na malipo tuliyolipa.
Wananchi tunalalamika sana juu ya kero hizo hata tunapolipia huduma tunapewa risiti ambazo zina mgawanyiko wa fedha kidogo na malipo tuliyolipa.