A
Anonymous
Guest
Tunaomba tulipwe fedha zetu za kujikimu.
Mtumishi anapaswa kulipwa fedha za kujikimu kwa wakati ili aweze kukabiliana na mazingira mapya ya kazi. Hata hivyo, sisi watumishi wa Halmashauri ya Tanganyika hadi leo hatujalipwa, wala hatujapewa taarifa yoyote kuhusu malipo hayo.
Tunaomba wahusika walifanyie kazi suala hili na kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia dhamana ya uongozi waliyopewa.