A
Anonymous
Guest
Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino, Dodoma, hatulipwi stahiki zetu kwa mujibu wa mwongozo wa Serikali.
Sambamba na hilo, idadi ya siku za malipo hupunguzwa na baadhi ya stahiki hazilipwi kabisa, ikiwemo On-Call Allowance na Extra Duty Allowance, ambazo mara ya mwisho zililipwa mwezi Desemba mwaka jana.
Kisingizio kinachotolewa ni kuwa bajeti ya malipo haitoshi, wakati makusanyo ya hospitali ni makubwa. Kwa kweli, hali hii inakera sana.