A
Anonymous
Guest
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Iramba Mkoani Singida, Hospitali ya Wilaya Kiomboi tunakaribia Mwaka sasa hatujalipwa stahiki zetu za Extra Duty na uongozi upo kimya kila tukiuliza tunajibiwa majibu ambayo sio rafiki, tunadai tangu Agosti 2025.
Tupo katika Jimbo la Waziri Mkuu tunaomba tatizo letu lishughulikiwe, vilevile tunadai pesa za huduma tuliyoitoa ya Mpox ambapo tulitumia nauli zetu wenyewe, tangu Agosti 2025 hadi leo hatujalipwa pesa zetu.
Huduma tulitolea katika kambi iliyochaguliwa ya Zahanati ya Kinambeu wagonjwa wote tulikuwa tunawahudumia hapo ilikuwa mwaka jana mwezi nimesahau japo ilikuwa kipindi cha outbreak ya mpox lilikua janga la taifa.
Wakati tunadai stahiki zetu hizo wanakuja kutuambia tuchangie elfu 10 ya Mwenge.
Siku ya wauguzi DED alisema tupewe milioni 2 kama motivation lakini wanataka pesa hizo tuzitumie katika mwenge.