Watumishi wa kada ipi wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka?

Watumishi wa kada ipi wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka?

Askari magereza. Infwakti wenyewe wanasema hua wanajinunulia wenyewe uniform. Wakubwa zao waendeshwa kwenye viyoyozi wamefunga vioo wasione nje wala wasionekane na watu.
 
walimu lazima waongelewe kwenye hizi mada, sijui kuna shida gani
 
Kwahiyo Watumwa nao mnashindana ni "WATUMWA GANI WANA HALI MBAYA"... 😀 😀
 
Back
Top Bottom