Napenda kutoa taarifa kwa viongozi wanaoweza kuokoa hali ya sintofahamu kuhusu watumishi wa vituo vya mizani kitolipwa malipo yao kwa takribani miezi 6.
Kutokana na hili vitendo vya Rushwa vimekithiri juu ya ukata uliopo baina ya wafanyakazi na wasafirishaji.
Natoa wito kwa viongozi kushughulika na hili.