A
Anonymous
Guest
Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam.
Kero yangu ni kwamba Watumishi kuanzia Wauguzi wasaidizi (nurse), Madaktari wote wa Mkataba tunakumbana na changamoto ya kucheleweshewa mishahara.
Hali hii imekuwa inatuumiza tunashindwa hata nauli ya kwenda kazini, ukifuata uongozi wa hospitali hauna jibu sahihi zaidi ya kuahidiwa “next week”...
Majibu ya Mamlaka ~ Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo yakiri changamoto ya mishahara kuchelewa kwa Wafanyakazi wa Mkataba Hospitali ya Sinza Palestina