Nyie mnalipwa kulingana na mapato ya hapo hosp kwamaana nyingine mnasubilia watu waumwe ili mlipwe mshahara sasa wasipoumwa ndo yanatokea kama hayo..Aisee Serikali mlitazame vizuri hili halijakaa sawa...inakuwaje mtu anakaa miezi kadhaa bila mshahara? anaishije.