A
Anonymous
Guest
Licha ya kuwa wafanyakazi wanaopelekeshwa na kufanya kazi katika Mazingira magumu, wafanyakazi wa Mikataba wa Manispaa ya Temeke tumekuwa tukicheleweshewa mishahara yetu hadi miezi inapinduka.
Watumishi wa mikataba Manispaa ya Temeke ni mojawapo ya kundi tunalofanya kazi katika Mazingira magumu sana ikiwemo kutumwa kukusanya mapato hata kama si taaluma yako tena unawekewa idadi ya watu ambao hawajalipa service levy na leseni uwakamate.
Ndio, tunaenda kukusanya mapato ambayo kila siku wanajivunia wao ni Manispaa ya pili kwa mapato nchi nzima huku wakusanya mapato wao wanalia njaa hata kwa mishahara ambayo ni stahiki zao, achilia mbali posho.