Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Watumishi wengi wa Mungu wanapenda kusema wameoteshwa au amekuona kwenye ndoto na ameona nyota yako imechukuliwa.
Mimi huwa siamini kitu kama hicho je kunakuwaga na ukweli wowote? Na pia mimi siamini kwenye kuombewa napenda zaidi mtumishi anifundishe jinsi ya kusali kisha aniache niongee na Mungu wango moja kwa moja kwani pazia la hekalu lilishavunjwa.