Watumishi wa Mungu wanachanganya

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Watumishi wengi wa Mungu wanapenda kusema wameoteshwa au amekuona kwenye ndoto na ameona nyota yako imechukuliwa.

Mimi huwa siamini kitu kama hicho je kunakuwaga na ukweli wowote? Na pia mimi siamini kwenye kuombewa napenda zaidi mtumishi anifundishe jinsi ya kusali kisha aniache niongee na Mungu wango moja kwa moja kwani pazia la hekalu lilishavunjwa.
 
Upo sahihi% mchunga kondoo akuongoze katika neno litakalokusaidia wewe kuacha matendo maovu na kuipata mbingu......hizo brah brah nyingine ni swagz tu not true
 
Upo sahihi% mchunga kondoo akuongoze katika neno litakalokusaidia wewe kuacha matendo maovu na kuipata mbingu......hizo brah brah nyingine ni swagz tu not true
Mimi sikatai kazi yao ila ninachokataa huko kuwa kama wapiga ramli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…