KERO Watumishi wa Serikali kuongelea mambo nyeti ndani ya SGR

KERO Watumishi wa Serikali kuongelea mambo nyeti ndani ya SGR

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na tabia ya watumishi wengi wa Serikali kujadiliana au kufanya kazi za Serikali ndani ya Treni ya SGR.

Kwa Usalama wa data za Serikali, hili haliko sawa kutokana na baadhi ya mazungumzo hayo huwa yanahusu mustakabali wa nchi na pia ufanyaji wa kazi za Serikali kwenye laptop husababisha taarifa kuonwa na watu wasio na uhusika.

Mamlaka ziangalie hili
 
Matumizi manaya ya SGR hayo.. Tumeishakubaliana SGR ni chimbo la mitongozo na kuopolea toto kali, na sio kujaidili mambo nyeti. Wabadirike hao viepepeo
 
Nyeti bila kutajwa ni changamoto
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwanza Serikali ipi??

Sasa Serikali inatakiwa kuwa na siri gani?

Ni nini mnawaficha wananchi na kwa faida ya nani?
 
Wana
Kumekuwa na tabia ya watumishi wengi wa Serikali kujadiliana au kufanya kazi za Serikali ndani ya Treni ya SGR.

Kwa Usalama wa data za Serikali, hili haliko sawa kutokana na baadhi ya mazungumzo hayo huwa yanahusu mustakabali wa nchi na pia ufanyaji wa kazi za Serikali kwenye laptop husababisha taarifa kuonwa na watu wasio na uhusika.

Mamlaka ziangalie hili
Labda wana mambo mengi muda mchache. Ila atleast wawe wanakaa hata royal au biznes huko.
 
Back
Top Bottom