A
Ethics haziruhusu kuzungumza official issues in public areasHapa hoja ni nini haswa
Msikilize CAG mazee anatoa taarifa za Serikali..Ethics haziruhusu kuzungumza official issues in public areas
Labda wana mambo mengi muda mchache. Ila atleast wawe wanakaa hata royal au biznes huko.Kumekuwa na tabia ya watumishi wengi wa Serikali kujadiliana au kufanya kazi za Serikali ndani ya Treni ya SGR.
Kwa Usalama wa data za Serikali, hili haliko sawa kutokana na baadhi ya mazungumzo hayo huwa yanahusu mustakabali wa nchi na pia ufanyaji wa kazi za Serikali kwenye laptop husababisha taarifa kuonwa na watu wasio na uhusika.
Mamlaka ziangalie hili