Mshobaa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,714
- 677
Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini.
Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa wanawahishwa huko waendako.
Ombi langu kwa serikali ili waone jinsi wananchi wanavyotaabika na huu usafiri waweke ulazima wa watumishi wote ikifika jioni na asubuhi walazimishwe kupanda Mwendokasi ili waonje joto ya jiwe