Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hayo magari ya serikali tunayoyalipia kodi zetu ni yakwao??? Upo seriously kweli mkuu
Wewe unadhani wanapanda bure hizo..?Umeelewa mada kweli mkuu wangu
Ninakusemea ww ambaye umekaa unadhani shida zako zinasababishwa na Mtumishi wa Umma.kwa muundo wa kiserikali wa hii Nchi adui wako ni Wananchi wenzio wanao mchagua ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ndio mwenye uwezo wa kubadili kila kitu.Ukisema watanzania ni mataahira usisahau kujijumuisha na wewe pia au ni mnyarwanda wewe
Sisi huku kwetu hata barabara hakuna wewe unalalamikia kutumia lami mbaya?M
Mkuu kama hayajawahi kukukuta bora ukae tu kimya
Walisema wataleta mwekezaji Emirates hadi leo naona ishu imekufa kimya kimyaSerikali ya CCM mradi mdogo tu wa mwendokasi umewashinda wanachoweza ni kuiba kura na kupora pesa za walipa kodi.
Hivi biashara ya usafiri kwenye jiji kabisa inawashindaje kama sio ufisadi?
Kuna siku Samia atakuwa mpangaji ikulu Chamwino.Walisema wataleta mwekezaji Emirates hadi leo naona ishu imekufa kimya kimya
Nyie masikini hamna dili tesekeni tu mkomeWakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini.
Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa wanawahishwa huko waendako.
Ombi langu kwa serikali ili waone jinsi wananchi wanavyotaabika na huu usafiri waweke ulazima wa watumishi wote ikifika jioni na asubuhi walazimishwe kupanda Mwendokasi ili waonje joto ya jiwe
Wakishaonja joto la jiwe ndio utapata nini?Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini.
Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa wanawahishwa huko waendako.
Ombi langu kwa serikali ili waone jinsi wananchi wanavyotaabika na huu usafiri waweke ulazima wa watumishi wote ikifika jioni na asubuhi walazimishwe kupanda Mwendokasi ili waonje joto ya jiwe
Hahaha si mnadharau wasomi ila ni utani bosiHaina
Shida yote maisha mkuu
Hili jambo linahitaji u serious mkuu hali ni mbaya sana nasema hivyo japo Mimi si mtumiaji wa hiyo huduma lakini watu wanataabika hukoIla watu wanaopanda mwendokasi kila siku cha moto wanakiona...
Kuna video inatembea mbibi amebanwa kwenye mwendokasi analia anakufa, na kuna siku watu watakufa kweli.