Daaah!Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini.
Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa wanawahishwa huko waendako.
Ombi langu kwa serikali ili waone jinsi wananchi wanavyotaabika na huu usafiri waweke ulazima wa watumishi wote ikifika jioni na asubuhi walazimishwe kupanda Mwendokasi ili waonje joto ya jiwe
Wanajua,kwamba hawajui mnavyotaabika???
Hawawaoni?
Hawasikiii???
Wanawadharau tu maana wanajua hamna jeuri ya kufanya lolote
Mtake msitake gari hizo mtapanda
Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini.
Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa wanawahishwa huko waendako.
Ombi langu kwa serikali ili waone jinsi wananchi wanavyotaabika na huu usafiri waweke ulazima wa watumishi wote ikifika jioni na asubuhi walazimishwe kupanda Mwendokasi ili waonje joto ya jiwe
Mbona mnajisifu sana mpo jiji kubwa la maraha mpk mnaita wengine wapo mikoani kana kwamba Dar sio mkoa wa TanzaniaWakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini.
Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa wanawahishwa huko waendako.
Ombi langu kwa serikali ili waone jinsi wananchi wanavyotaabika na huu usafiri waweke ulazima wa watumishi wote ikifika jioni na asubuhi walazimishwe kupanda Mwendokasi ili waonje joto ya jiwe
KomaeniM
Mkuu kama hayajawahi kukukuta bora ukae tu kimya
Kabisa kusingekuwepo na urasimu wa kijinga kama huuSheria Kali zilipaswa wawekewe viongozi wa juu rais, makamu, w mkuu , jaji na spika. Lakini wamewekewa Kinga.
Sheria ingewalazimisha viongozi wote kutumia hospital, shule nk za umma pia wakarishwe kwenye foleni wangekuwa wametatua
Ukisema watanzania ni mataahira usisahau kujijumuisha na wewe pia au ni mnyarwanda weweYani Watanzania ni majitu matahira sana,yani wakiwa huko hudhania maisha yao magumu husababishwa na Watumishi wa umma.
Maisha yenu magumu,usafiri mbovu,m W1aji,umeme,matibabu yote yanasababishwa na Rais na Wabunge mnao wachagua.
Acheni tabia za kulalamikoa watumishi huku anayetakiwa awaondelee shida zote yupo Magogoni,ni lini nyie watu mtapata akili.Watumishi wa umma wanacheza na ngoma inavyopigwa.