Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

Watu wanaenda shule,wanasoma historia za kiuchumi,kijamiii,kisiasa kutoka Nchi mbalimbali ulimwenguni na impact zake katika maendeleo ya maisha ya watu.
Badala wajikusanye watafute njia nzuri za kupata viongozi wa kuondolea shida zao,wameng'ang'ania watumishi wa umma.
 
Kwamba hayo magari ya serikali tunayoyalipia kodi zetu ni yakwao??? Upo seriously kweli mkuu

kuna baadhi ya taasisi ziliweka mikakati ya usafir mapema kwa kuwakata wafanyakazi hao hela za usafir

mfano kuna baadhi ya taasisi wanakatwa hela ya chakula yaani watu wote wanatakiwa kula sehemu moja utake usitake wanakata hela

hali ipo ivyo sio kila.kitu wanachotumia watumishi kuwa wanatumia pesa zenu za kodi
 
Umeelewa mada kweli mkuu wangu
Wewe unadhani wanapanda bure hizo..?
Me nimefanya kazi STAMICO, hizo coaster zilikuwepo, watu walikuwa wanapanda kwa makubaliano ya kukatwa mwisho wa mwezi. Budget ya mafuta ya kuwafata na kuwarudisha haipo kwenye serikali kwa kila mfanyakazi.
 
Ukisema watanzania ni mataahira usisahau kujijumuisha na wewe pia au ni mnyarwanda wewe
Ninakusemea ww ambaye umekaa unadhani shida zako zinasababishwa na Mtumishi wa Umma.kwa muundo wa kiserikali wa hii Nchi adui wako ni Wananchi wenzio wanao mchagua ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ndio mwenye uwezo wa kubadili kila kitu.
Rais na Wananchi wenzako ndio wana maamuzi ya kila kitu,hata mkitaka leo mfanye mageuzi Tanzania iwe new York inawezekana na sio mtumishi wa Umma
 
Bora tu waendelee kubebwa na gari za taasisi zao.mwendokasi wenyewe umejifia.Huu mradi ni bora uvunjwe tu.
 
Serikali ya CCM mradi mdogo tu wa mwendokasi umewashinda wanachoweza ni kuiba kura na kupora pesa za walipa kodi.

Hivi biashara ya usafiri kwenye jiji kabisa inawashindaje kama sio ufisadi?
 
Bora tu waendelee kubebwa na gari za taasisi zao.mwendokasi wenyewe umejifia.Huu mradi ni bora uvunjwe tu.
Wakija kwenye Mwendokasi ndio watajua kiasi gani raia wengine wanavyotaabika
 
Serikali ya CCM mradi mdogo tu wa mwendokasi umewashinda wanachoweza ni kuiba kura na kupora pesa za walipa kodi.

Hivi biashara ya usafiri kwenye jiji kabisa inawashindaje kama sio ufisadi?
Walisema wataleta mwekezaji Emirates hadi leo naona ishu imekufa kimya kimya
 
Nyie masikini hamna dili tesekeni tu mkome
 
Wakishaonja joto la jiwe ndio utapata nini?
 
Ila watu wanaopanda mwendokasi kila siku cha moto wanakiona...

Kuna video inatembea mbibi amebanwa kwenye mwendokasi analia anakufa, na kuna siku watu watakufa kweli.
 
Ila watu wanaopanda mwendokasi kila siku cha moto wanakiona...

Kuna video inatembea mbibi amebanwa kwenye mwendokasi analia anakufa, na kuna siku watu watakufa kweli.
Hili jambo linahitaji u serious mkuu hali ni mbaya sana nasema hivyo japo Mimi si mtumiaji wa hiyo huduma lakini watu wanataabika huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…