Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Mkuu naona unaulizia sababu za yeye kuwahi kwa muumba.....

Sijasema kitu🤣
 
Mkuu naona unaulizia sababu za yeye kuwahi kwa muumba.....

Sijasema kitu🤣
 
Watutsi huwezi kuwacontroll kizembe
 

Alikuwa TISS peke yake au na majukumu mengine, mimi sio maarufu Bar, sasa wewe unaeenda Bar, mie nitashangaa kwa nini wewe ni Maarufu?
 
Mimi mwenyewe nawaona hawa watu mambulula sana yaani professional apige lisasi 30 na asiue 🤣🤣🤣
Huyo akiludi jeshini wanamyonga

Huo ulikuwa mpango wa mr DJ
Sometimes extreme violence is used to send fear as a weapon of war!! Mfano ukichinja watu kama ISIS unaogopwa kuliko kama wangekua wanaua kwa risasi tu
 
Membe alikuwa kilaza sana. Pamoja na kuwa huwa mnasema marehemu hasemwi. No way. Membe was kilaza sana. Hakuwa na Ujasusi wowote. Ila alipitia huo upepo na sababu si mtu wa hivyo akaamua kupita kwenye reli hiyo hiyo. Uliwahi msikia Mahiga akijisifu hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…