Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Kwa mbulula wa humu ukitaja dgi wa eagle kuanzia mzee emilio mzena ,laurensi gama,hassy kitine, balozi augustine mahiga ,kornel apson mwangonda,RO rashid othman,mchungaji pasta wa bot na nida,msuya,na huyu wa sasa. Membe alikuwa level za hao seniors idara ya recruitment ambayo ndio ya uzalishaji wa majasusi na msiofahamu aliekuwa dgi wakati wa magufuli mchungaji alitengenezwa na hayati membe na membe alitengenezwa na laurensi gama ! Mbuzi nyie !
 
Mwandiko kama wa mwoga au mwenye wivu, Acha apate sifa zake, kuna watu wamefanya makubwa sana nchi hii. Nae anahesabika
 
Huyo siyo jasusi bobezi ila siasa na wanasiasa ndio wanamwona kama jasusi bobezi pia alipenda kusifiwa sana!!
 
Mwaka 1983 vita ilishaisha tangu 1980 sasa auwawe kwa lipi au alibuki kitu!!?
 
Kwasababu archives hazijaruhusiwa kusimulia operation alizoshiriki wewe uzijue kuna watu wamefanya makubwa nchi hii mpaka ukisimuliwa unaogopa! Ndio maana magufuli alipoleta ujuaji idara ikamshangaa sana hasa top retirees wakashangaa huyu mwalimu wa kemistri wa secondary anatuletea ishu gani huku ....?
Huyo siyo jasusi bobezi ila siasa na wanasiasa ndio wanamwona kama jasusi bobezi pia alipenda kusifiwa sana!!
 
Hujui kitu kwa taarifa yako Magufuli alikuwa pia ni Jasusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…