Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Membe siyo marehemu, huo ni mzoga.
 
bwana mdogo unaleta stori za kusimuliwa sio?
 
Vita ya Uganda aliyekuwa front liner wa Tisi na aliyefanya kazi pevu siye huyo maembe wenu.

Angekuwa ni tishio kiasi hicho nadhani angeshawahi kuteuliwa kuwa Director wa kitengo.

Danganya majinga majinga yasiyojitambua kama wewe
 
Mwaka 1983 wakati vita imeshaisha, analysis gani hiyo ambayo tayari madhara yalishatokea miaka karibia mitano?????

Huyu jamaa mwongo mpaka anaboa
 
Nape aliitoa CCM shimoni,alilala msituni au umesahau.
 
Membe kabla ya serikali ya awamu ya tano kumnyanyua kisiasa alikuwa afisa wa usalama wa kawaida tu hakuna cha maana sana alichokuwa amefanya zaidi ya wengine.
Naomba nikujibu hivi; maafisa usalama wa kawaida ni hawa ma rso na dso na wa chini kabisa ni wale wanaosimamia mitihani ya la nne la sana form two form four na wale walioko nectar wanaotisha walimu wa Mpwayungu Village kila siku bernard camilius membe alishapita level hizo toka mwaka 1980 na kimsingi hakuwahi kuwa huko chini kwa taarifa yako wakati waziri mkuu mizengo kayanza peter pinda akiwa mkuu wa usalama wa ikulu wakati wa nyerere membe tayari alishakuwa ndani ya ofisi ya rais mchambuzi wa mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi set up unayoiona leo nje ya nchi na ndani pokea hiyo. Itoshe kusema mizengo pinda alilinda ikulu na familia ya nyerere na membe alilinda taifa nchi !
 
Mwaka 1983 wakati vita imeshaisha, analysis gani hiyo ambayo tayari madhara yalishatokea miaka karibia mitano?????

Huyu jamaa mwongo mpaka anaboa
Utabaki na ujinga wako post war impact za military analysts baada ya vita zinafanyika kwa karne moja sembuse miaka mitano? Kumbuka nchi hasimu zinaendelea kuchunguzana mpaka kizazi kilichoshuhudia vita kipite na wajiridhishe kwamba mambo ni shwari sema nyie vijana mliozaliwa mwaka 2000 hamyajui haya.
 
Wewe unayeyajua kazikwe naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…