ndiyo huyo huyoHuyu Mama Bonge ndiyo zile clips zake zilivuja kwenye mitandao zikimuhusisha hadi Waziri Mkuu!? Au huyu mwingine!!? Maana issue nayo ilikua ni Vitenge!!! Wajuzi wa Mambo naomba Mtujuze pls!!!
Wale walamba asali bado watamsingizia magufuliHuyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Wanastahili adhabu ila wasinyongwe, ukianza kunyonga basi utanyonga waishe maana wasafi wanaweza kuwa wachache sana. Ukumbuke kuna Polisi, Halmashauri, wizarani na hata sekta binafsi. Kote huko kuna watu wa aina hii. Hapo hujagusa wanasiasa.Mh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
Hatafanywa chochote hiyo ndio Tanzania ya kishenzi ukisia wameshughulikiwa nijulishe,kwani umesahau yule wa kigoma alizungumza mbele ya Majaliwa je alisaidiwa?tatizo la Watanzania ni kwamba wana ugonjwa wa kusahau na akishika 🎤 anafikiri anaigiza mchezo na anasahau kilichompelika kwenye stage ndio sababu watapiga kelele mpaka Yesu arudi hakuna mabadilikoHuyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Walamba asali Watakwaambia wanafuata sheria zilizotungwa mara billion 30 mara billion 1 khaa kodi gani hizoHao maafisa walitaka rushwa Kwa huyo mama, in short hao ma officer ni wahuni na washenz.i na wahujumu uchumi na Hawana utu wangetakiwa wamsaidie, Huwa nawaza why Watanzania tunapenda kukomoana hivi, huyu mama kumfungia kumeharibu uchumi na kuathiri aliowaajiri na kumtegemea, na hao ma officer hawakufikiria kweli multiplier effect yake. Saa ingine watu watumie busara kuangalia mambo Kwa upana faida na hasara then wa negotiate
Hiyo adhabu nani ataitekelezaMh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
TRA: ^Njoo uchukue mzigo wako^Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Endelea kukaa kimya watakunyea kichwani na kukwambia hama kwenye nyumba yako ni mali yao na itaendelea kukaa mpaka lini???Mambo mengi ni mazito, Heri kukaa kimya[emoji3][emoji2221]
Ujue hata Sheria mbovu ni chanzo Cha rushwa na kuwatajirisha TRA officers,maana masheria mengine hayana applicability kiuhalisia ndio mwisho mtu kukwepa hyo Kodi anaona awape rushwa ma officer ili asilipe.Walamba asali Watakwaambia wanafuata sheria zilizotungwa mara billion 30 mara billion 1 khaa kodi gani hizo