Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Yaani hapo bandarini ukikataa kutoa rushwa , hata kama ulikuwa na lengo la kulioa kodi sahihi, watakubambikia kodi mara 100 ya kodi halisi ili kukukomoa.., sasa ona mambo kama haya, Vitenge sasa watu wananunua Zambia wakati vimeoita hapohapo bandari yetu, si uchawi huu???!!!
 
Mh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
Inafika hatua unajiuliza, hii nchi tuna Rais kweli?! Yaani inashangaza kweli!!
 
Mh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
Kama taifa kwa sasa Tunafurahia yanga kuingia fainali. Mambo mengine yote hadi 28/5/23 siyo muhimu. Umenisikia au niongeze sauti???
 
Kwamba utapimiwa mbususu🤣
Lazima uwe Mwakarobo..unapimiwa robo roboo.
Sasa imagina mtu ana container zimezuilwa bandari mabilion yanahitajika..
Haya mara akabambikiwa kesi za uhjjum uchumi.
Mara alipe ushuru bilioni 30 sasa huyu mtu hata time ya kuwaza ngono anatoa wapi... hata akibanwa na genye huo muda wa kukata viuno anautoa wapi..kata mwenyeweee 😂😂😂😂
 
Kwa baharia lazima utakuwa unajiiba iba kwenda mechi za ugenini
 
Ukinyimwa Kei unatakiwa ushukuru maana unaongezewa siku za kuishi, maana ukichakata mara moja siku saba zimeondoka hizo....baadhi ya viumbe wakichakata tu na kufa hapo hapo.
[emoji28][emoji28]ila mkinyimwa Huwa mnatukomoa na kuweka uzibe kwetu kumbe Huwa tuna wa save maisha yenu
 
Hii nchi yetu officer una mjibu vibaya mtu anayejenga nchi na kukufanya ulipwe mshahara, serikali iweke mazingira mazuri ya kutia moyo wafanyabiashara wasionekane maadui. Na hao ma officer wanavimba vile hupokea rushwa kubwa kubwa tu yani
Hivi naomba niulize Watanzania serikali ni nani serikali ni wewe Mtanzania mwenyewe sasa kwa nini unamwachia kibaka mali yako ambayo ni kodi mtaani kibaka anapigwa na mara nyingine kuchomwa mto au kwa vile hao vibaka mlioajiri wamevaa suti za kupwaya??Tumieni akili Watanzania la sivyo mtapata sana mateso
 
TRA ni jipu
Wachina wameanza kukimbilia Uganda
 
Wawekezaji kama hawa wangepewa ushirikiano vizuri, tutaweza kufanana kama Dubai.
Kitakachobadilisha hii hali, ni kuwepo na sera nzuri (hasa ya kikodi) na sheria ya kumlinda muwekezaji kwa angalau miaka 100. Ndani ya muda mfupi, viwanda vitazidi idadi ya watu; na serikali itapata mapato ya kutosha, kwa sababu bidhaa nyingi zitakuwa zinapelekwa nje.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…