FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani hapo bandarini ukikataa kutoa rushwa , hata kama ulikuwa na lengo la kulioa kodi sahihi, watakubambikia kodi mara 100 ya kodi halisi ili kukukomoa.., sasa ona mambo kama haya, Vitenge sasa watu wananunua Zambia wakati vimeoita hapohapo bandari yetu, si uchawi huu???!!!