Watumishi wa Uma vigogo wameniomba niwafundishe Kubet.

Watumishi wa Uma vigogo wameniomba niwafundishe Kubet.

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Kama ni bakora za mwalimu wa Shule ya msingi, basi hawa wanafunzi (watumishi wa uma) zimewaingia makarioni vilivyo, dah!!, eti wanawaza kubet!!. Walahi kama ni kuisoma namba sasa imefikia penyewe.

Karibuni ktk Chama Cha Kubet Tanzania watumishi wa uma.
 
Back
Top Bottom