TzComedy
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 890
- 700
Kama ni bakora za mwalimu wa Shule ya msingi, basi hawa wanafunzi (watumishi wa uma) zimewaingia makarioni vilivyo, dah!!, eti wanawaza kubet!!. Walahi kama ni kuisoma namba sasa imefikia penyewe.
Karibuni ktk Chama Cha Kubet Tanzania watumishi wa uma.
Karibuni ktk Chama Cha Kubet Tanzania watumishi wa uma.