Watumishi wa Umma badala ya kuomba mwongezewe mishahara ombeni wengine nao waajiriwe

Na hapo ndo makosa unayoyafanya, output ni ile.. uwe mwalimu wa private au public.. wote ni wazalishaji kwa sababu huduma wanayotoa ni moja
Private wanatoa profitable education service while serikali wanatoa non profitable education service. Serikali wame invest capital into education service but no return wakati private wamewekeza capital and they get return.
Unaweza kuniambia fedha ambazo serikali inawekeza kwenye education ya shule ya sekondari na msingi zinarudije, na faida wanapata shilingi ngapi kwa mwaka. Serikali inalipa mishahara na kununua vitendea kazi kila mwaka, hizo fedha zinarudije katika huo mwaka.
 
Ingekua ni walimu wa shule za private hilo swali nililo kuuliza ungelijibu kiurahisi. Ni rahisi kuibadilisha output yao into money form. Ni hivi kule wao ufaulu wa wawanafunzi unafanya idadi ya wanafunzi kuongezeka, na mapato ya shule kuongezeka. Hivyo tunaweza kutengeneza model inayohusianisha ufaulu wa wanafunzi na increment ya mshahara.

Huyu jamaa ana reasoning ndogo sana Output ya Mwalimu even Doctor na taaluma nyengine yoyote ambayo inatoa Huduma direct kwa jamii Output yake sio pesa anayolipa mpewa hudum.

Output ya Doctor ni Afya za watanzania zinavyoimarisha, Doctor akitibu watu 1000 wale watu wakienda kuzalisha that is Output how calculated.

Walimu wanapika taaluma mbalimbali from the Bottom up to peak tunapata ma engineer, Doctors, logisticians, Lawyer nk no hawa watu wanaenda kusave taifa, kihuduma na kiuzalishaji hii ndio output ya mwalimu.

wewe unapima output au uzalishaji wa taaluma fulani eti kwamba hiyo huduma inatolewa bure you have brain kweli, elimu kutolewa bure si uwamzi wa serikali tu even today serikali inaweza amua hospital zote za serikali kilakitu bure kwahiyo kesho utakuja sema Doctor hazalishi hii ni akiri ya ajabu sana.

Kwamantiki hii uliyoiweka kichwani Walimu si wangegoma elimu kutolewa bure kuta mdau wa elimu angekubali.

muda mwengine ujifunze sio kuandika mataputapu tu jukwaani then unasema umejiairi ndio maana nikasema wewe mganganjaa aliye jiajiri hawezi kuwa na thinking ndogo kihasi ichi.
 
Ana upeo finyu sana .. eti mwalimu serikali hazalishi output kisa shule za public elimu ni bure.. hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom