WATUMISHI WA UMMA(civil servants)

Mshahara unachelewa mwezi wa saba, kwa sababu ya bajeti!
 
we vumilia tu deni lako atalipa tu huyo mwalimu coz mshahara mpya ni ule wa july wala hajakudandanya
MADENI NOMAAA
 
mwezi ulioppita tulipata mshahara wa mwezi mei tr. 8/6, leo tarehe 25/6 mshara kwa watumishi wa halmashauli ya jiji la Mwanza haujatoka! Mwezi wa saba tunaweza kuikopesha serikali kabisa.
 
Anzisha na mirad mingine mjin utaumbuka ukiendekeza kusubiria kamshahara kako!
 
kama hujapata we lala tu kuanzia tar 1 july mpaka watakapo kulipa
 
naomba kujua wakuu ni mwezi huu wa sita au ule wa saba? upi mshahara unachelewa sana? kwa nini?

Mwaka huu mshahara unapaswa kuwahi mwezi wa 6 na kulipwa katika tarehe za kawaida mwishoni mwezi wa 7 kwani bajeti tayari lmeishapitishwa.
 
Walimu tunahali ngum mwenzako bwagomoyo nshazoea kuanzia tareh 28 kwenda mbele ingawa mkuu wa kaya zote ikiwemo ya elimu ni kwao.
 
naomba kujua wakuu ni mwezi huu wa sita au ule wa saba? upi mshahara unachelewa sana? kwa nini?


This time hawana excuse mkuu maana bajeti imeshapitishwa mapema tu sasa sijui waje na kisingizio kipi labda tena watuletee nyimbo zao za EPICA sijui?
 
Mwez July ndio mshahara unachelewa. Yawezekana mshahara ukatoka tar 5-10 August
 
Mwez July ndio mshahara unachelewa. Yawezekana mshahara ukatoka tar 5-10 August

Hata mimi nina experience kama hii, and not otherwise unless implementation ya new budget ifanyike as soon as possible
 
naomba kujua wakuu ni mwezi huu wa sita au ule wa saba? upi mshahara unachelewa sana? kwa nini?


Mishahara ilikuwa inachelewa kuanzia mwaka jana kurudi miaka ya nyuma sababu bunge lilikuwa linapitisha bajeti za idara za serikali mwezi wa sita mwishoni hadi transactions kukamilika na kuifikia idara husika zinakua ni process ndefu ambazo hufanya mishahara ichelewa.

Mwaka huu bajeti za idara za serikali zimepitishwa mapema kwa hiyo kutakuwepo na mabadiriko, mishahara itatoka kwa muda ule ule kama unavyochukua miezi mingine. Wakichelewesha ujue ni ukiritimba tu, mishahara yote anaichukua mtu mmoja anaizalisha anaizungusha kwenye biashara, faida anabaki nayo badae ndo mnapewa walala hoi mkiwa na madeni kibao!
 

UNAMAANA WANANUNUA BANGE IN BULK KUTOKA JAMAIKA na kuja kumpa mhindi mmoja,
 
UNAMAANA WANANUNUA BANGE IN BULK KUTOKA JAMAIKA na kuja kumpa mhindi mmoja,


Mkuu huwa hawanunui bange isipokuwa huwekeza kwenye financial institutions ambazo hutoa faida kubwa kwa muda mfupi kama ukiwekeza pesa nyingi kwa muda maalum.
 
Mshahara utakuja mapema as usual lakn kwa sababu obama kaja tutawacheleweshea kdogo
 
Huku Mbinga kidogo afadhali wametoa tarehe 26
 
ndugu zangu, naona mnalilia mshahara, yea its good its true ni haki yenu. mimi pia ni mmoja wa watumishi wa uma. lakini nasikitika kusema kuwa kuna kitu chaitwa DIVIDE AND RULE ndicho kinacho tukumba watumishi wengi wauma.

Ntawapa mfano, kwamiezi mitatu mfululizo sasa imekuwa ni kawaida kwa halmashauri ya sekngerema kutoa mshahara kuanzia tarehe saba mpaka kumi natano. nawakati huo wengine mnapata nusu wengine zote wengine kalenda. lakini geita tu mwndo wa nusu saa kutoka sengerema wao wanapata tarehe 25.

ukweli nikwamba sisi watumishi ndo chanzo cha matatizo yetu wenyewe. hatujitambui, na hatujui tupo kwa maslahi yanani. ndomaana utaona hata katika uchangiaji mtu wa mwanza analala mika , alafu wa tabora ana mcheka. au shinyanga analala mika wa mtwara ana mshangaa.

watumishi tunadharauliana utaona mhasibu ana mdharau mwalimu eti anategemea mshahara, tunapondana sisi kwa sisi. tunaipa mwanya serikali kufanya inacho taka kuhusu sisi.

tungependana tuka shauriana tukawa naumoja waukweli sisi ninguvu kubwa moja wapo inayo weza leta mabadiliko katika utendaji wa serikali kwa kuikemea na kuiwajibisha pindi inapo kwenda kinyume. lakini kwa hali hii naona tanzania yangu bado sana kwani kila mtu anahisi ana shida zake wakti wote tuna matatizo yale yale .

kama hauna shida kirohosafi huna haja yakuwa mtumishi wauma kwani hakuna tajiri aliye ajiliwa tuache unafki tutafika mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…