mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
kama kawada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba kujua wakuu ni mwezi huu wa sita au ule wa saba? upi mshahara unachelewa sana? kwa nini?
naomba kujua wakuu ni mwezi huu wa sita au ule wa saba? upi mshahara unachelewa sana? kwa nini?
Mwez July ndio mshahara unachelewa. Yawezekana mshahara ukatoka tar 5-10 August
naomba kujua wakuu ni mwezi huu wa sita au ule wa saba? upi mshahara unachelewa sana? kwa nini?
Mishahara ilikuwa inachelewa kuanzia mwaka jana kurudi miaka ya nyuma sababu bunge lilikuwa linapitisha bajeti za idara za serikali mwezi wa sita mwishoni hadi transactions kukamilika na kuifikia idara husika zinakua ni process ndefu ambazo hufanya mishahara ichelewa.
Mwaka huu bajeti za idara za serikali zimepitishwa mapema kwa hiyo kutakuwepo na mabadiriko, mishahara itatoka kwa muda ule ule kama unavyochukua miezi mingine. Wakichelewesha ujue ni ukiritimba tu, mishahara yote anaichukua mtu mmoja anaizalisha anaizungusha kwenye biashara, faida anabaki nayo badae ndo mnapewa walala hoi mkiwa na madeni kibao!
UNAMAANA WANANUNUA BANGE IN BULK KUTOKA JAMAIKA na kuja kumpa mhindi mmoja,
Mwez July ndio mshahara unachelewa. Yawezekana mshahara ukatoka tar 5-10 August