Nakutahadharisha mmerudi zero mpaka mrejee alipowaacha JK sio Leo usikariri jiwekee akiba kwa familia yako jiulize magufuli hakukujali miaka minne nyuma kabla ya korona atakujali miaka yake mitano ya post korona na ambapo anajua Hana Cha kupoteza? Kuwa na akili usibalehe kipindi hiki Cha masika.superbug,
Haya ya huyu ni yake, mtu mwenye akili timamu hawezi kuendeleza uhayawani huu kwa watumishi
nasema akishaondoka. mimi nawalilia watoto wangu, nimetoka serikalini 19 yrs backNakutahadharisha mmerudi zero mpaka mrejee alipowaacha JK sio Leo usikariri jiwekee akiba kwa familia yako jiulize magufuli hakukujali miaka minne nyuma kabla ya korona atakujali miaka yake mitano ya post korona na ambapo anajua Hana Cha kupoteza? Kuwa na akili usibalehe kipindi hiki Cha masika.
kuhusu miradi hilo sio la kuuliza hakuna kitu lipo wazi...ndio maana kapanic..Facts tunazotakiwa kuishi nazo:
Kuna Uwezekano hata ile Miradi Mikubwa ya serikali isikamilike katika kipindi chake chote cha Uongozi uliobakia,
Atakuwa kiongozi wa kwanza kutuacha na madeni kuliko kiongozi yoyote aliyepta so far,
Kuna uwezekano pia kuja kutengwa na jumuiya ya Africa mashariki na kwingineko, huko mbeleni. Kuna wakati itafika serikali itashindwa kulipa wafanyakazi mishahara yao, hili linakuja soon.
Tusishangae karibuni kuona viongozi wakuu wastaafu wakivunja Protocols za kumsema Hadharani. Dini zitakuja tumika kama mifano hai kipindi hiki huko mbeleni,kama they are useless.
huu utumbo umechukua wapi!!!Facts tunazotakiwa kuishi nazo:
Kuna Uwezekano hata ile Miradi Mikubwa ya serikali isikamilike katika kipindi chake chote cha Uongozi uliobakia,
Atakuwa kiongozi wa kwanza kutuacha na madeni kuliko kiongozi yoyote aliyepta so far,
Kuna uwezekano pia kuja kutengwa na jumuiya ya Africa mashariki na kwingineko, huko mbeleni. Kuna wakati itafika serikali itashindwa kulipa wafanyakazi mishahara yao, hili linakuja soon.
Tusishangae karibuni kuona viongozi wakuu wastaafu wakivunja Protocols za kumsema Hadharani. Dini zitakuja tumika kama mifano hai kipindi hiki huko mbeleni,kama they are useless.
Kachukua Chato.
Hoja watumishi unaingiza chadema una akili wewe? Zungumzia kilichoandikwa tumia akiliChadema mtahangaika sana mwaka huu kila aina ya uzushi
Mjiandae October tuwafute
Duu! Sasa hapa CHADEMA wanahusika vipi?Chadema mtahangaika sana mwaka huu kila aina ya uzushi
Mjiandae October tuwafute