TUACHE UWONGO, MBONA WATU HAWACHI KAZI?MBONA WAFANYAKAZI WANAJENGA NA USAFIRI MZURI TENA WA BINAFSI? MBONA GRADUATES WANALILIA HIZI AJIRA AMBAZO MSHAHARA HAUPANDI
Nawasihi watumishi wa umma hamtarejea Tena alipowatoa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais magufuli amewahisha anguko lenu ambalo kiukweli lilipaswa kuja baada yake. Kimsingi mtaloose kuanzia sasa mpaka kizazi Cha 15 yrs to come hivyo ambao mlikuwa mnalewa anzeni kujenga na kuweka vitega uchumi, hali si hali teeena.
Superbug.