Samia ameeleza kwa msisitizo sana kwamba nyongeza aliyoitangaza ni kwa mishahara ya kima cha chini. Yaani wale waliokuwa wakipata mshahara wa shilingi 370k kwa mwezi. Watumishi hawa ni wachache sana serikalini. Kundi hili linahusisha walimu wa shule za msingi, madereva, manesi wa zahanati za vijiji, wafanya usafi na wahudumu wa maofisini (wanapoanza kazi)
Soma Pia: Rais Samia apandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000
Watumishi wenye mishahara kima cha kati (zaidi ya 370k -1.5M) na kima cha juu (1.5M- 5M) formula yenu kwa mujibu wa mnyetishaji wangu toka wizara ya fedha ni kama ifuatavyo:-
Kima cha kati ni 4%,
Kima Cha juu ni 2%.
Sasa endelea kukenua meno ukidhani umeongezewa mshahara kwa 35.1%. Majibu mtatupatia mwezi July.