Tamu Ya Mua Ni KifundoKasema wengine kiwango kitakuwa kizuri tu...
Acha tufurahi bana, mama tunae
Wataelewa nshahara wa July ukitoka.Samia ameeleza kwa msisitizo sana kwamba nyongeza aliyoitangaza ni kwa mishahara ya kima cha chini. Yaani wale waliokuwa wakipata mshahara wa shilingi 370k kwa mwezi. Watumishi hawa ni wachache sana serikalini. Kundi hili linahusisha walimu wa shule za msingi, madereva, manesi wa zahanati za vijiji, wafanya usafi na wahudumu wa maofisini (wanapoanza kazi)
Soma Pia: Rais Samia apandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000
Watumishi wenye mishahara kima cha kati (zaidi ya 370k -1.5M) na kima cha juu (1.5M- 5M) formula yenu kwa mujibu wa mnyetishaji wangu toka wizara ya fedha ni kama ifuatavyo:-
Kima cha kati ni 4%,
Kima Cha juu ni 2%.
Sasa endelea kukenua meno ukidhani umeongezewa mshahara kwa 35.1%. Majibu mtatupatia mwezi July.
Kwa kuwa hii ni bongo kila mmoja amatakiwa kujiandaa kwa hali zote.Samia ameeleza kwa msisitizo sana kwamba nyongeza aliyoitangaza ni kwa mishahara ya kima cha chini. Yaani wale waliokuwa wakipata mshahara wa shilingi 370k kwa mwezi. Watumishi hawa ni wachache sana serikalini. Kundi hili linahusisha walimu wa shule za msingi, madereva, manesi wa zahanati za vijiji, wafanya usafi na wahudumu wa maofisini (wanapoanza kazi)
Soma Pia: Rais Samia apandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000
Watumishi wenye mishahara kima cha kati (zaidi ya 370k -1.5M) na kima cha juu (1.5M- 5M) formula yenu kwa mujibu wa mnyetishaji wangu toka wizara ya fedha ni kama ifuatavyo:-
Kima cha kati ni 4%,
Kima Cha juu ni 2%.
Sasa endelea kukenua meno ukidhani umeongezewa mshahara kwa 35.1%. Majibu mtatupatia mwezi July.
Na mm ndiyo nawaonya. Wasije kuanza kutukana matusi mwezi Julai wakati leo wanakenua menoWataelewa nshahara wa July ukitoka.
Wenye akili fupi watakopa kabisa kule kwenye fremu; tusije sikia matusi humu.
Kwani wanaishi sayari ya Mars kwamba hatuonani au kuishi nao.? Hujui kuwa nina mke nesi na mchepuko mwalimu wa shule ya msingi?Aliyekwambia manesi na walimu wa shule za msingi wanalipwa 370k ni nani? Umedanganywa maana hata salary scale hujui ipoje!
Huyo mnyetishaji wako kuna kitu hakijui.Samia ameeleza kwa msisitizo sana kwamba nyongeza aliyoitangaza ni kwa mishahara ya kima cha chini. Yaani wale waliokuwa wakipata mshahara wa shilingi 370k kwa mwezi. Watumishi hawa ni wachache sana serikalini. Kundi hili linahusisha walimu wa shule za msingi, madereva, manesi wa zahanati za vijiji, wafanya usafi na wahudumu wa maofisini (wanapoanza kazi)
Soma Pia: Rais Samia apandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000
Watumishi wenye mishahara kima cha kati (zaidi ya 370k -1.5M) na kima cha juu (1.5M- 5M) formula yenu kwa mujibu wa mnyetishaji wangu toka wizara ya fedha ni kama ifuatavyo:-
Kima cha kati ni 4%,
Kima Cha juu ni 2%.
Sasa endelea kukenua meno ukidhani umeongezewa mshahara kwa 35.1%. Majibu mtatupatia mwezi
Ungenyamaza tu kama haujui, miaka yote nyongeza huanza na kima cha chini kwa asilimia kubwa na kuendelea kupungua kwenye mishahara ya juu, sasa kipya hapa ni nini?Samia ameeleza kwa msisitizo sana kwamba nyongeza aliyoitangaza ni kwa mishahara ya kima cha chini. Yaani wale waliokuwa wakipata mshahara wa shilingi 370k kwa mwezi. Watumishi hawa ni wachache sana serikalini. Kundi hili linahusisha walimu wa shule za msingi, madereva, manesi wa zahanati za vijiji, wafanya usafi na wahudumu wa maofisini (wanapoanza kazi)