Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Nimefuatilia kwa undani ishu ya Jengo la KKO, inside information ambazo sio RASMI zinaeleza kwamba Afisa alie process kibali cha gorofa lililokuwa likijengwa aliandaa ripoti na ilionesha hatari ambayo inaweza kujitokeza endapo some measures hazitochukuliwa wakati wa ujenzi:
Pamoja na mambo mengine, Afisa huyo alionesha distance kati ya Jengo na Jengo na umri wa gorofa la zamani na technolojia iloyotumika kusimamisha,
Aidha, taarifa ilikuwa na mambo mengi ambayo yaliweka vikwazo vya kuanza ujenzi mpya mpaka measure zichukuliwe prior.
Hizo messure ambazo zililenga kulinda jengo la awali, zilikuwa zinakwenda kuongeza set up cost ya ujenzi mpya. Report ilipofika kwa watia saini, some of the key issues vikawa ammended ili ujenzi utembee chap, that is to hear , 10% ikatembea .
in few days , without analysis….. kibali was out with explaination kwamba mbona majengo mengine yapo hivo na mambo yanaenda poa !!!!!!
Within 3 weeks …… the glory of old good days were remembered, kitu kikaitika, desk officer akabaki kuwa mshindi…….
The glory of old good days zimebaki kuwa vilio huku Rais wa nchi akiwa nje ya nchi, sadly hata uokoaji wenyewe unatupa maswali magumu kweli kweli , KODI NA MIKOPO MIKUBWA ITAKAYOIGHARIMU TAIFA ALONG THE WAY …. INAKWENDA WAPI???
Kwa uokoaji kama ule, mikopo na kodi zinakwenda wapi ? Au kuna chuma ulete hapo TZ ?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Mapendekezo;
Hatuwezi kuendelea kulia lia na kupambana na matatizo tuliyoyaunda sisi wenyewe. Halaf tukeshe kusema Mungu tusaidie na utulinde, thaï is madness, someone has to be responsable ;
1. Afisa aliyefanya feasibility study kwa kuangalia technical aspects na uwezekano wa kusimamisha jengo hilo bila ya kuleta environnemental impact achukuliwe kwa uchunguzi zaidi,
2. Watia saini waliotoa go ahead contrary na feasibility study report wachukuliwe kwa uchunguzi zaidi na hatua stahili
3 . Mmiliki wa jengo achukuliwe kwa Uchunguzi na hatua stahiki
4. Focal injinia anaeandaa script ya Ujenzi na roadmap ya eneo lote achukuliwe kwa uchunguzi na hatua stahiki
Ikionekana kuna uzembe ndani yake na viashiria vya rushwa, wahusika wote wafike kizimbani sambamba na kutoa fidia kwa wahanga ambayo ni bilions of money kulipa familia za wafiwa na wale wote walio athirika, list za hawa watu zipo mahospitalini, zichukuliwe hizo records na walipwe
Kama haya mambo mkiyapeleka kimya kimya…. Someone will always do blunders huku ikiwagharimu maisha wengine
TAKUKURU hili ni eneo lenu, mbona enzi ya Ngosha mlikuwa na meno makali sana, what did you do kwenye meno yenu ?
Dr Megalodon, Otawwa