Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja zako zina mashiko, lakini; Je, ni Serikali gani hiyo ambayo Ina uwezo wa kuwawajibisha hao watu waliozembea au waliokosea hadi kusababisha maafa haya? Serikali hii hii ya CCM au??Nimefuatilia kwa utandani ishu ya Jengo la KKO, inside information ambazo sio RASMI zinaeleza kwamba Afisa alie process kibali cha gorofa lililokuwa likijengwa aliandaa ripoti na ilionesha hatari ambayo inaweza kujitokeza endapo some m
Hili gazeti mbona ni la hovyo sanaUpinzani maslahi
Hebu tuache kwanza watatajana tu japo ukimsikiliza Chalamila na Samia wanavyoongea kuhusu hilo jengo am interested kujua mmiliki wake sio bure.Nimefuatilia kwa utandani ishu ya Jengo la KKO, inside information ambazo sio RASMI zinaeleza kwamba Afisa alie process kibali cha gorofa lililokuwa likijengwa aliandaa ripoti na ilionesha hatari ambayo inaweza kujitokeza endapo some
Kama haya mambo mkiyapeleka kimya kimya…. Someone will always do blunders huku ikiwagharimu maisha wengine
TAKUKURU hili ni eneo lenu, mbona enzi ya Ngosha mlikuwa na meno makali sana, what did you do kwenye meno yenu ?
Dr Megalodon, Otawwa
Mfumo corrupt kila mtu anataka kutajirika ndani ya mwaka mmojaTatizo kila mtu anachumia tumbo lake,mtu akishazibwa mdomo na chochote(pesa) kitu haramu kinakuwa halali
Kwanini mpaka sahivi mmiliki wa jengo hajatajwa? ujue huyo ni kada wa CCMHebu tuache kwanza watatajana tu japo ukimsikiliza Chalamila na Samia wanavyoongea kuhusu hilo jengo am interested kujua mmiliki wake sio bure.
Kazi kubwa wanayojua ni kupeleka vitàda vya kubeba maiti na kutoa matamko kama ( Nimeelekeza Wizara Husika ishirikiane na Jeshi la polisi kufanya uchunguzi na wanipe majibu) , maneno kama haya yanatoka over recorded person from oversee, thaï Means vikao vinathamani kuliko uhai wa wananchi wako wanaolipa kodiKumbuka nchi inaongozwa na CCM labda kama huyo mmiliki na hao wote wangekuwa chadema ndio hatua zingechukuliwa haraka
Hamna kitu, na kuunda tume ni waste of TimeItaundwa kamati ya kufatilia, watakula per diem na ripoti hatutoiona wala kuisikia
Mkuu point yako nzuri sana, lakini kwanini mnapenda kutumia lugha za viraka?Nimefuatilia kwa undani ishu ya Jengo la KKO, inside information ambazo sio RASMI zinaeleza kwamba Afisa alie process kibali cha gorofa lililokuwa likijengwa aliandaa ripoti na ilionesha hatari ambayo inaweza kujitokeza endapo some measures hazitochukuliwa wakati wa ujenzi:
Pamoja na mambo mengine, Afisa huyo alionesha distance kati ya Jengo la zamani na Jengo Tarajiwa, ilionesha umri wa gorofa la zamani na technolojia iloyotumika kusimamisha,
Aidha, taarifa ilikuwa na mambo mengi ambayo yaliweka vikwazo vya kuanza ujenzi mpya mpaka measure zichukuliwe prior.
Hizo messure ambazo zililenga kulinda jengo la awali, zilikuwa zinakwenda kuongeza set up cost ya ujenzi mpya. Report ilipofika kwa watia saini, some of the key issues vikawa ammended ili ujenzi utembee chap, that is to hear , 10% ikatembea .
in few days , without analysis….. kibali was out with explaination kwamba mbona majengo mengine yapo hivo na mambo yanaenda poa !!!!!!
Within 3 weeks …… the glory of old good days were remembered, kitu kikaitika, desk officer akabaki kuwa mshindi…….
The glory of old good days zimebaki kuwa vilio huku Rais wa nchi akiwa nje ya nchi, sadly hata uokoaji wenyewe unatupa maswali magumu kweli kweli , KODI NA MIKOPO MIKUBWA ITAKAYOIGHARIMU TAIFA ALONG THE WAY …. INAKWENDA WAPI???
Kwa uokoaji kama ule, mikopo na kodi zinakwenda wapi ? Au kuna chuma ulete hapo TZ ?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Mapendekezo;
Hatuwezi kuendelea kulia lia na kupambana na matatizo tuliyoyaunda sisi wenyewe. Halaf tukeshe kusema Mungu tusaidie na utulinde, thaï is madness, someone has to be responsable ;
1. Afisa aliyefanya feasibility study kwa kuangalia technical aspects na uwezekano wa kusimamisha jengo hilo bila ya kuleta environnemental impact achukuliwe kwa uchunguzi zaidi,
2. Watia saini waliotoa go ahead contrary na feasibility study report wachukuliwe kwa uchunguzi zaidi na hatua stahili
3 . Mmiliki wa jengo achukuliwe kwa Uchunguzi na hatua stahiki
4. Focal injinia anaeandaa script ya Ujenzi na roadmap ya eneo lote achukuliwe kwa uchunguzi na hatua stahiki
Ikionekana kuna uzembe ndani yake na viashiria vya rushwa, wahusika wote wafike kizimbani sambamba na kutoa fidia kwa wahanga ambayo ni bilions of money kulipa familia za wafiwa na wale wote walio athirika, list za hawa watu zipo mahospitalini, zichukuliwe hizo records na walipwe
Kama haya mambo mkiyapeleka kimya kimya…. Someone will always do blunders huku ikiwagharimu maisha wengine
TAKUKURU hili ni eneo lenu, mbona enzi ya Ngosha mlikuwa na meno makali sana, what did you do kwenye meno yenu ?
Dr Megalodon, Otawwa
Si umeona wale waliomuua Katibu Iringa, chap chap wapo mahahusu sasa hiviAngekuwa CHADEMA angekamatwa siku hiyo hiyo.
😹nimeichukua hiyo, viraka ni jangaMkuu point yako nzuri sana, lakini kwanini mnapenda kutumia lugha za viraka?
Ulishindwa nini kumwagika kingereza kitupu, kama kiswahili hakipandi sawasawa?
No one will be accountable. Believe me! This is Tanzania bhana. The land of business as usual.
Deep down hata hapo KKO waliokufa ni zaidi ya idadi iliyotajwaNadhani zikiletwa takwimu za ajali nchini zinatisha, ajali left right and center na zote ni sababu ya uzembe.
Watu wataisha jamani, tukiangazia huko mabarabarani ndio kuna majanga zaidi.
KUNA uwezekqno ni yule jamaa wa Singida ndani ya Wizara ya maokoto behind the scenes , ndugu zake wote kawamwaga KKO wapo na mabiashara sana na hilo jengo likelihood ni laoNaweza kubaliana na wewe..nina wasi wasi mkubwa kuwa mmiliki wa jengo hili ni mtu mkubwa ndio maana mpaka leo hatajwi. Ingekuwa si hivyo angesha kuwa amekamatwa na blah blah kibao.
Kila idara bila kuwa na chanzo kikuu kinacholea uozo huo?mwafrika ni nyani aliyechangamka,umeshauri vyema lakini mizizi ya uzembe na uwajibikaji umekita kila idara.
mwafrika ni nyani aliyechangamka,umeshauri vyema lakini mizizi ya uzembe na uwajibikaji umekita kila idara.