Watumishi wa Umma, Mmeona Madhara ya kutotizimiza wajibu wenu eneo la kazi? Maumivu ni makubwa mno

Changamoto, (uncertainty), husababishwa na 1. Majanga, (disaster), 2. Taarifa, (information), 3. Binadamu

1. Majanga, kuna majanga ya asili na yanayosababishwa na binadamu

2. Taarifa anaye tafsiri taarifa anaweza kutafsiri vibaya ikamletea majanga

3. Binadamu anaweza akajisabishia changamoto kwa uzembe, uvivu, ujinga, ubahili, na ushamba pia binadamu anaweza kuwasabanishiwa wengine changamoto kwa kutokujua ama kwa makusudi
 
Tutasikia mengi ndo kwanza movie imeanza.

Ila kwa ninanyoijua Tz na watanzania wenyewe hii ishu ifikika tare 28 ya mwezi huu tutakua tushasahau wacha tu Mechi za Simba na Yanga zianze.
Watanzania ni watu wa matukio na akuna kitu kitaendelea wacha tungoje

Pole kwa ndugu na jamaa walopoteza wapendwa wao.
 
Mkuu ni ngumu sana kufanyika kwa sbb ya uwajibikaji na uwadilifu ni mbovu
 
Umenena vyema.
 
Kuanzia mmiliki wa jengo, mafundi, aliyesaini kibali cha ujenzi, aliyefanya EIA, aliyefanya property feasibiliy study, consultants, building permit reviewer na building inspector wote ni CCM. Kwa hiyo usitegemee maajabu kwa hatua zitakazochukuliwa kwa sababu wahalifu watajichunguza wenyewe.
 
Kwanini mpaka sahivi mmiliki wa jengo hajatajwa? ujue huyo ni kada wa CCM
Hata order ya mzee wa piko anasema atafutwe mmiliki awaelezee nini kilitokea. Sasa jiulize polisi anaweza kuchunguza masuala ya majengo??? I thought angewaambia ERB wafanye hiyo kazi polisi watakula rushwa wataandika wanachojua kwamba hakuna jinai thats all and will be done. Nchi hii imekuja kuwa ya kishenzi sana.
 
Mama Kasema uchunguzi ufanyike, Mama huyu huyu alisema atatoa Mil 50 kila kijiji wakati akiwa Makamu
Najua baada ya kusoma yale makaratasi akiwa ughaibuni yaliishia pale pale

Kama angesikia wanu yule kibonge au Abdul ni miongoni mwalioangukiwa , I am pretty sure safari ingegeuziwa airport

WatAnzania angalieni viongozi mliokuwa nao

Very selfish
 
Taifa la hovyo sana ila CCM ikikaa kando kuna mengi yatachange
 
Ni sawa
 
Mbongo shughuli!
Hapo tutadai MWENYEZI MUNGU ALITAKA!
KICHWA CHA MWENDAWAZIMU KABISA!
 
Swali rahisi sana.
Mmiliki atakuwa ana kosa gani ikiwa atakuwa na vibali halali na kuwatumia waatalamu wa fani husika katika ujenzi wa jengo lake?
 
Kwa mfano kama kariakoo ukitimiza wajibu jiandae kufukuzwa hata kazi hao matajiri... Na hao wanaongoza uokozi hukaa pamoja... Kempisk, hyatt n.k
 
Lile jengo kama lingebomolewa na CHADEMA, hayo uliyoyasema yangefanyiwa kazi.

Kama ripoti ya kuungua kwa soko la kariakoo hadi leo haipo hadharani, unategemea nini?? Ni kufunika kombe tu mwanaharanu apite, huku maisha na mali za watu zikiteketea.
 
Swali rahisi sana.
Mmiliki atakuwa ana kosa gani ikiwa atakuwa na vibali halali na kuwatumia waatalamu wa fani husika katika ujenzi wa jengo lake?
Sahihi, hatokuwa na kosa kama docs zote ni relevant and valid .

Suala la 10% huwa evidence yake ngumu kuonekana. Mmiliki will always stand out kwa sababu huwezi kuanza ujenzi bila hao wahuni wa vibali
With that question, shida ipo KWA CCM
 
Nashauri wote waliohusika kufanya hizo kazi za ujenzi mainjinia wafungwe na kunyang'anywa kabisa vyeti vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…