Watumishi wa Umma, mwezi huu kuna jipya?

Watumishi wa Umma, mwezi huu kuna jipya?

Mshahara wa mwezi August ndio umetoka, swali ni je, kuna jipya mwezi huu?

Tukumbuke mwezi wa 7 hakukuwa na mabadiliko kama ilivyokuwa inatarajiwa.

Karibuni.
Hii nchi watumishi wanatumika tu , na hawajielewi kwamba wanaofaidi ni viongozi katika vyama vyao, wataendelea kulimia meno na maokoto ya elfu 15 au 30 mpaka watakapo jitambua , wengi hata senti hawajapata eti kisa walipandishwa sijui vyeo mwezi uliopita,

Ila hawa watumishi may mosi utawakuta wajazana uwanjani,
Mbunge anaondoka na above 12m mwalim ,dr, wapo wanaongozesa maokoto ,
Acha wafeee, hakuna kulialia hapa maana hawajitambui ,
 
Back
Top Bottom