Watumishi wa Umma Njooni mu "apply scholarship" za MOFCOM@China

Watumishi wa Umma Njooni mu "apply scholarship" za MOFCOM@China

Napenda sana kuwa free, kwenye nchi za watu unaishi kama digidigi...
Kweli mwana...yaani kama una mpunga bwana raha sana kuishi nchini kwako bwana. Huko unaenda kutembea tuu
 
Mchumba anakuzuia kutimiza ndoto zako. Ungesema hta mke hobi. Kwa HYo jamaa Kasanda haendi tena. Waenda mwenyewe tu?
Naenda mwenyewe man...
Jamaa kasema ame-discuss na familia yake (wazazi) + huyo mchumba then kaona kwasasa akomae tu kutengeneza familia.

Nimemuonea huruma na kumuona faler balaaa.

Kipindi cha application alinisumbua sanaa then leo hii analeta huu ujinga.

#YNWA
 
Kwasasa scholarship za China utasoma online
Hapana, juzi tulikuwa na online seminar, wamesema Wana hope mwezi wa 9 (kuufunguliwa kwa vyuo) mambo yatakuwa poa.

#YNWA
 
Scolarship then familia itakula nini
Ni FULL FUNDED SCHOLARSHIP.
Yaani Wizara ya Fedha ya China itakulea ukiwa kule.
Then wewe si una mshahara na utaendelea ku-flow, basi familia italelewa na mshahara.
Unajaza Standing Order bank, then bank wanakuwa wanaweka mzigo kutoka account yako kwenda ya wife kila mwezi.

#YNWA
 
Mambo ya language testing nilishamaliza siku nyingi sana

Naipenda sana elimu ya Ulaya na America

Niende kusoma Asia wakati wao wanakimbilia ulaya kila siku kusoma
Siku nyingi wakati cheti kina-expire kila baada ya miaka miwili.
Kwamba kila miaka miwili utakuwa unakitafuta kwa $ 500 na ili ukipate sio single sit exam.

Braza I know everything about scholarship na nyingii ninazo, na apart from ajira yangu hii ndio my side hustle (kutafuta watu scholarship).

#YNWA
 
Tatizo Halmashauri uliyopo watakuruhusu?
Kuniruhusu kuhama?
Kama ni point ya kuhama then, inategemea na DED wangu mzungu sanaa.
Ye huwa anasaini tu.

Mi barua yangu ya scholarship ilikuja juma3 fulani ikaingia masijala, ikapelekwa kwake juma4 (hakuwepo ofisi). Akaingia ofisini juma5 na kusaini siku hiyohiyo.

Kwahiyo hapo ni roho ya DED wako tu.

Na kama DED wako anabana basi "Mfate time ambayo sio ya Kazi (personally) nenda kajielezee anaweza kukuelewa"

#YNWA
 
Halo JF .....
Mwaka jana mwezi wa 10 Wizara ya Utumishi wa Umma ilitoa Tangazo la maombi ya Scholarship kwa Masters na PhD kwa watumishi wa Umma.

Kilichonishangaza ni kwamba tarehe 04/04/2022 Wizara Imeweka tena tangazo.

Hii inaonyesha na kutafsirisha kwamba Watumishi wa Umma hawakuomba ili Wizara ipate wa kutosha.

Sasa ndugu zangu Watumishi wenzangu wa Umma hebu apply-ini kwa wingi tafadhali.

Maana huko duniani Tz tunatafsirika watu wasiopenda kuchangamkia fursa za ajira na masomo huko nje.

Na kizuri zaidi hii scholarship haihitaji cheti cha kingereza (TOEL).

Link 👇👇👇

Haya tushambulie fursa hizii.

Ukipata Tangazo hili basi mjulishe na mtumishi mwenzio..!!!

NB:-
Kwa watakao kwama mnakaribishwa PM japo CONSULTATION FEES itahusika tafadhali...!!!

*Am an expert in these matters.

#YNWA
Kwa hiyo sisi wenye umri zaidi ya miaka 40 ndiyo hatuna chetu!
 
Naenda mwenyewe man...
Jamaa kasema ame-discuss na familia yake (wazazi) + huyo mchumba then kaona kwasasa akomae tu kutengeneza familia.

Nimemuonea huruma na kumuona faler balaaa.

Kipindi cha application alinisumbua sanaa then leo hii analeta huu ujinga.

#YNWA
Mapenzi yanarun dunia,me mr alivyoleta habari za au niache nkamwambia acha hizo we nenda skuli nkamsaidia na kupack begi
 
Hiki kipengele kimewazibia wengi..... It means Walimu wa msingi na sekondari hawawezi kuomba...
Screenshot_20220410-164753_1.jpg
 
Mbona waziri na makatibu wakuu wapo mjini?..kwani vijijini hakuna maisha?si waende huko waonyeshe mfano.

#MaendeleoHayanaChama
😂😂😂

Aliyetoa tamko watu wasihame vijijini kwenda mjini, alilitoa akiwa Dodoma Jiji 😅😅

#YNWA
 
Halo JF .....
Mwaka jana mwezi wa 10 Wizara ya Utumishi wa Umma ilitoa Tangazo la maombi ya Scholarship kwa Masters na PhD kwa watumishi wa Umma.

Kilichonishangaza ni kwamba tarehe 04/04/2022 Wizara Imeweka tena tangazo.

Hii inaonyesha na kutafsirisha kwamba Watumishi wa Umma hawakuomba ili Wizara ipate wa kutosha.

Sasa ndugu zangu Watumishi wenzangu wa Umma hebu apply-ini kwa wingi tafadhali.

Maana huko duniani Tz tunatafsirika watu wasiopenda kuchangamkia fursa za ajira na masomo huko nje.

Na kizuri zaidi hii scholarship haihitaji cheti cha kingereza (TOEL).

Link [emoji116][emoji116][emoji116]

Haya tushambulie fursa hizii.

Ukipata Tangazo hili basi mjulishe na mtumishi mwenzio..!!!

NB:-
Kwa watakao kwama mnakaribishwa PM japo CONSULTATION FEES itahusika tafadhali...!!!

*Am an expert in these matters.

#YNWA

Ili waje wagombanie vyeo vya kupandishwa kichawi
 
Back
Top Bottom