Una cheti cha TOEL na unaweza kufanya mtihani wake na ukalipia pale British Council ili uweze kukipata cheti?
Any way; hii ni China nchi ambayo utaenda kufundishwa na kujionea fursa za biashara.
Kwa miaka hiyo utakayo kaa huko unaweza pata connection na kujifunza mengi.
Ukarudi na cheti cha Shule + cha biashara ulichokusomea mwenyewe kitaa..!!!
Think outside the box, Hii sio Asia tu Bali hii ni China nchi ambayo imezaja bidhaa nyingi sanaa kila pembe ya dunia.
#YNWA