Watumishi wa umma punguzeni malalamiko, mmeharibu kabisa hili Jukwaa

Watumishi wa umma punguzeni malalamiko, mmeharibu kabisa hili Jukwaa

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
428
Reaction score
766
Hili jukwaa lilikua chachu ya watu kupata opportunities za ajira,internship ,networking na mambo mengine mazuri
Cha kushangaza sasa baadhi ya watumishi wa umma wameligeuza kuwa sehemu ya malalamiko tuu. Asubui malalamiko,mchana malalamiko, usiku malalamiko, hii ni TOO MUCH !
KUNA UTARATIBU WA KUFATA KUFIKISHA MALALAMIKO YENU SIYO KUJA KUYAMWAGA HUMU ! TUNAHITAJI KUANGALIA NYUZI ZINGINE SIO MALALAMIKO YENU TU

HUTAKI ! ACHA KAZI!!
 
Kuna roboti kazi yake ni kukusanya malalamiko na kuyaleta huku
 
Back
Top Bottom